Exodus 12:1-2

Pasaka

1 Bwana akamwambia Musa na Haruni katika nchi ya Misri, 2 a“Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu, yaani mwezi wa kwanza wa mwaka wenu.
Copyright information for SwhKC